Skool Profile

GLOBAL IMPORTATION PRO

New

Jifunze kuagiza bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki na USA. hatua kwa hatua, kuanzia kuchagua suppliers, kufanya malipo, na kusafirisha hadi Tanzania.

GLOBAL IMPORTATION PRO
๐Ÿ“Š 35
Slug: raib-importation-academy-8922 Last crawled: 2026-05-06 05:18:21.019186 UTC Harga: Free Short URL: https://www.skoo.li/raib-importation-academy-8922
230Member
0Online
1Admin
๐Ÿ‘ 0 ๐Ÿ˜Ž 0 ๐Ÿ”ฅ 0 ๐Ÿ‘ 0
Tentang

Unataka kuagiza bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki, USA au UK lakini hujui pa kuanzia?

Hii ndio program itakayokutoa kwenye confusion na kukupeleka kwenye mfumo halisi wa importation wenye faida.

Ndani ya Masterclass hii utajifunza:

โœ” Jinsi ya kupata bidhaa moja kwa moja kutoka kwa manufacturers na wholesalers

โœ” Kutumia platforms kama Alibaba, 1688, Amazon, eBay na nyingine kwa usahihi

โœ” Kufanya Profit Test kabla ya kuagiza ili kuepuka hasara

โœ” Kulipa kwa usalama (Card, PayPal, Alipay, WeChat)

โœ” Kutumia freight forwarder na kuchagua Air au Sea cargo

โœ” Kupunguza risk ya kutapeliwa

โœ” Kukokotoa gharama zote hadi mzigo ufike Tanzania

Hii siyo course ya nadharia โ€” ni blueprint ya vitendo ya kuwa Global Importer mwenye mfumo, confidence na margin kubwa ya faida.

Ukichukua hatua sasa, unaanza kujenga biashara inayotegemea source za kimataifa, sio soko la ndani tu.

๐Ÿ“ž Ramadhani Abubakary Iddi0748 299 372

Karibu RAIB IMPORTATION ACADEMY ๐Ÿš€๐Ÿ”ฅ

Discussion

Komentar

Komentar

Catatan member

Masuk dulu sebelum ikut diskusi di listing ini.

Belum ada komentar. Jadilah member pertama yang meninggalkan catatan.