Perfil de Skool

GLOBAL IMPORTATION PRO

Nuevo

Jifunze kuagiza bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki na USA. hatua kwa hatua, kuanzia kuchagua suppliers, kufanya malipo, na kusafirisha hadi Tanzania.

GLOBAL IMPORTATION PRO
📊 35
Identificador: raib-importation-academy-8922 Último crawl: 2026-05-06 05:18:21.019186 UTC Precio: Free URL corta: https://www.skoo.li/raib-importation-academy-8922
230Miembros
0En línea
1Admins
👍 0 😎 0 🔥 0 👏 0
Acerca de

Unataka kuagiza bidhaa kutoka China, Dubai, Uturuki, USA au UK lakini hujui pa kuanzia?

Hii ndio program itakayokutoa kwenye confusion na kukupeleka kwenye mfumo halisi wa importation wenye faida.

Ndani ya Masterclass hii utajifunza:

✔ Jinsi ya kupata bidhaa moja kwa moja kutoka kwa manufacturers na wholesalers

✔ Kutumia platforms kama Alibaba, 1688, Amazon, eBay na nyingine kwa usahihi

✔ Kufanya Profit Test kabla ya kuagiza ili kuepuka hasara

✔ Kulipa kwa usalama (Card, PayPal, Alipay, WeChat)

✔ Kutumia freight forwarder na kuchagua Air au Sea cargo

✔ Kupunguza risk ya kutapeliwa

✔ Kukokotoa gharama zote hadi mzigo ufike Tanzania

Hii siyo course ya nadharia — ni blueprint ya vitendo ya kuwa Global Importer mwenye mfumo, confidence na margin kubwa ya faida.

Ukichukua hatua sasa, unaanza kujenga biashara inayotegemea source za kimataifa, sio soko la ndani tu.

📞 Ramadhani Abubakary Iddi0748 299 372

Karibu RAIB IMPORTATION ACADEMY 🚀🔥

Discusión

Comentarios

Comentarios

Notas de miembros

Inicia sesión primero para unirte a la conversación sobre este listing.

Todavía no hay comentarios. Sé el primer miembro en dejar una nota.